Ezekieli 38:13
Sheba na Dedani pamoja na wafanyabiashara wa Tarshishi na vijiji vyake vyote watakuambia, “Je, umekuja kuteka mateka? Je, umekusanya makundi yako ya wajeuri ili kuchukua nyara mali, kutwaa fedha na dhahabu, kutunyangʼanya mifugo na mali na kuteka nyara nyingi zaidi?” ’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 57:4Niko katikati ya simba, 2 nimelala katikati ya wanyama wenye njaa kuu: 2 watu ambao meno yao ni mikuki na mishale, 2 ambao ndimi zao ni panga kali. 1
Jeremiah 15:13Utajiri wako na hazina zako nitavitoa kuwa nyara, 2 bila gharama, 1 kwa sababu ya dhambi zako zote 2 katika nchi yako yote. 1
Jeremiah 51:38Watu wake wote wananguruma kama simba wadogo, 2 wanakoroma kama wana simba. 1
Ezekiel 25:13kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitaunyoosha mkono wangu dhidi ya Edomu na kuua watu wake na wanyama wao. Nitaufanya ukiwa, kuanzia Temani hadi Dedani wataanguka kwa upanga.
Ezekiel 27:15“ ‘Watu wa Dedani + 27:15 Yaani Rhodes . walifanya biashara nawe, watu wengi wa nchi za pwani walikuwa wachuuzi wako, walikulipa kwa pembe za ndovu na mpingo.
Ezekiel 27:22“ ‘Wafanyabiashara wa Sheba na wa Raama walifanya biashara nawe, wakabadilishana bidhaa zako na aina zote za vikolezi, vito vya thamani na dhahabu.