The Bible Software
bible.software › Ezekieli › Ezekieli 25 › Ezekieli 25:13

Ezekieli 25:13

kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitaunyoosha mkono wangu dhidi ya Edomu na kuua watu wake na wanyama wao. Nitaufanya ukiwa, kuanzia Temani hadi Dedani wataanguka kwa upanga.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore thus saith the Lord GOD; I will also stretch out mine hand upon Edom, and will cut off man and beast from it; and I will make it desolate from Teman; and they of Dedan shall fall by the sword.

In Context

12“Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: ‘Kwa sababu Edomu ulilipiza kisasi juu ya nyumba ya Yuda na kukosa sana kwa kufanya hivyo,

14Nitalipiza Edomu kisasi kwa mkono wa watu wangu Israeli, nao watawatendea Edomu sawasawa na hasira yangu na ghadhabu yangu, nao watakijua kisasi changu, asema Bwana Mwenyezi.’ ” 1 Unabii Dhidi Ya Ufilisti

Read all of Ezekieli 25

Cross References

Genesis 6:7Kwa hiyo Bwana akasema, “Nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemuumba kutoka kwenye uso wa dunia, wanadamu na wanyama, pamoja na viumbe vitambaavyo na ndege wa angani. Kwa maana nasikitika kuwaumba.”

Isaiah 34:1Njooni karibu, enyi mataifa, nanyi msikilize; 2 sikilizeni kwa makini, 2 enyi kabila za watu! 1 Dunia na isikie, navyo vyote vilivyo ndani yake, 2 ulimwengu na vyote vitokavyo ndani yake! 1

Jeremiah 7:20“ ‘Kwa hiyo hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenyezi: Hasira yangu na ghadhabu yangu itamwagwa mahali hapa, juu ya mwanadamu na mnyama, juu ya miti ya shambani na juu ya matunda ya ardhini, nayo itaungua pasipo kuzimwa.

Jeremiah 49:7Kuhusu Edomu: Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Je, hakuna tena hekima katika Temani? 2 Je, shauri limewapotea wenye busara? 2 Je, hekima yao imechakaa? 1

Lamentations 4:21Shangilia na ufurahi, ee Binti Edomu, 2 wewe unayeishi nchi ya Usi. 1 Lakini kwako pia kikombe kitapitishwa, 2 Utalewa na kuvuliwa nguo ubaki uchi. 1

Ezekiel 14:13“Mwanadamu, kama nchi itanitenda dhambi kwa kutokuwa waaminifu nami nikinyoosha mkono wangu dhidi yake kukatilia mbali upatikanaji wake wa chakula na kuipelekea njaa na kuua watu wake na wanyama wao,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekieli 25:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekieli 25:12Ezekieli 25Ezekieli 25:14 →