Ezekieli 39:1
“Mwanadamu, tabiri dhidi ya Gogu useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Ee Gogu mimi ni kinyume nawe, mtawala mkuu wa Roshi, Mesheki na Tubali.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 24:21Katika siku ile Bwana ataadhibu 2 nguvu zilizoko mbinguni juu, 2 na wafalme walioko duniani chini. 1
Ezekiel 38:1Neno la Bwana likanijia kusema:
Nahum 2:13Bwana Mwenye Nguvu Zote anatangaza, 2 “Mimi ni kinyume na ninyi. 1 Magari yenu ya vita nitayateketeza kwa moto, 2 na upanga utakula wana simba wako. 2 Sitawaachia mawindo juu ya nchi. 1 Sauti za wajumbe wako 2 hazitasikika tena.”