The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 24 › Isaiah 24:21

Isaiah 24:21

Katika siku ile Bwana ataadhibu 2 nguvu zilizoko mbinguni juu, 2 na wafalme walioko duniani chini. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it shall come to pass in that day, that the LORD shall punish the host of the high ones that are on high, and the kings of the earth upon the earth.

In Context

20Dunia inapepesuka kama mlevi, 2 inayumbayumba kama kibanda kwenye upepo; 1 imelemewa sana na mzigo wa hatia ya uasi wake 2 na ikianguka kamwe haitainuka tena. 1

22Watakusanywa pamoja 2 kama wafungwa waliofungwa gerezani, 1 watafungiwa gerezani 2 na kuadhibiwa baada ya siku nyingi. 1

Read all of Isaiah 24

Cross References

Psalms 149:6Sifa za Mungu na ziwe vinywani mwao 2 na upanga ukatao kuwili mikononi mwao, 1

Isaiah 10:25Bado kitambo kidogo sana hasira yangu dhidi yenu itakoma, 2 na ghadhabu yangu itaelekezwa kwenye maangamizi yao.” 1

Isaiah 25:10Mkono wa Bwana utatulia juu ya mlima huu, 2 bali Moabu atakanyagwa chini 2 kama majani makavu yakanyagwavyo kwenye shimo la mbolea. 1

Ezekiel 38:1Neno la Bwana likanijia kusema:

Ezekiel 39:5Utaanguka katika uwanja, kwa kuwa nimenena, asema Bwana Mwenyezi.

Joel 3:19Lakini Misri itakuwa ukiwa, 2 Edomu itakuwa jangwa tupu, 1 kwa sababu ya jeuri waliofanya kwa watu wa Yuda, 2 ambao katika nchi yao 2 walimwaga damu isiyo na hatia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 24:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 24:20Isaiah 24Isaiah 24:22 →