Ezekieli 39:2
Nitakugeuza kuelekea ulikotoka na kukuburuta. Nitakuleta kutoka kaskazini ya mbali na kukupeleka wewe dhidi ya milima ya Israeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 40:14Wote wanaotafuta kuuondoa uhai wangu, 2 waaibishwe na kufadhaishwa; 1 wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, 2 warudishwe nyuma kwa aibu. 1
Isaiah 37:29Kwa sababu unaghadhibika na ufidhuli dhidi yangu, 2 na kwa sababu ufidhuli wako umefika masikioni mwangu, 1 nitaweka ndoana yangu puani mwako 2 na hatamu yangu kinywani mwako, 2 nami nitakufanya urudi kwa njia ile uliyoijia.
Daniel 11:40“Katika wakati wa mwisho, mfalme wa Kusini atapigana naye vita, naye mfalme wa Kaskazini atamshambulia kwa magari ya vita, askari wapanda farasi, na idadi kubwa ya meli. Atavamia nchi nyingi na kuzikumba nchi hizo kama mafuriko.