Ezekieli 39:26
Wataisahau aibu yao na jinsi walivyoonyesha kutokuwa waaminifu kwangu mimi wakati waliishi salama katika nchi yao, bila kuwa na mtu yeyote wa kuwatia hofu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:5Kupura nafaka kwenu kutaendelea mpaka wakati wa kuvuna zabibu. Pia kuvuna zabibu kutaendelea mpaka wakati wa kupanda mbegu, nanyi mtakula na kushiba, na mtaishi salama katika nchi yenu.
Deuteronomy 32:14kwa jibini na maziwa kutoka makundi ya ngʼombe 2 na kutoka makundi ya mbuzi, 2 kwa mafuta ya wana-kondoo na mbuzi, 1 kwa kondoo dume wazuri wa Bashani, 2 na kwa ngano nzuri. 1 Ukanywa damu ya zabibu inayotoa povu. 1
Psalms 99:8Ee Bwana, wetu, 2 ndiwe uliyewajibu, 1 kwa Israeli ulikuwa Mungu mwenye kusamehe, 2 ingawa uliadhibu matendo yao mabaya. 1
Jeremiah 3:24Tangu ujana wetu miungu ya aibu imeyala 2 matunda ya kazi za baba zetu: 1 makundi yao ya kondoo na ngʼombe, 2 wana wao na binti zao. 1
Ezekiel 15:8Nitaifanya nchi kuwa ukiwa kwa sababu wamekuwa si waaminifu, asema Bwana Mwenyezi.”
Ezekiel 16:57kabla uovu wako haujafunuliwa. Hata hivyo, sasa unadhihakiwa na binti za Edomu na jirani zake wote, na binti za Wafilisti, wale wote wanaokuzunguka wanakudharau.