Ezra 5:5
Lakini jicho la Mungu wao lilikuwa likiwaangalia wazee wa Wayahudi, nao hawakuzuiliwa kujenga mpaka taarifa ikaandikwa kwa Dario na majibu yake kupokelewa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Pia waliwauliza, “Je, majina ya watu wanaofanya ujenzi huu ni nani?”
Cross References
Ezra 6:6Sasa basi, Tatenai, mtawala wa Ngʼambo ya Mto Frati na Shethar-Bozenai pamoja na ninyi, maafisa wenzao wa jimbo hilo kaeni mbali na mahali hapo.
Ezra 7:28ambaye ameniongezea kibali chake mbele ya mfalme, washauri wake na maafisa wote wa mfalme wenye uwezo. Kwa kuwa mkono wa Bwana Mungu wangu ulikuwa pamoja nami, nilijipa moyo nikakusanya watu walio viongozi kutoka Israeli wakwee pamoja nami.
Psalms 32:8Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea; 2 nitakushauri na kukuangalia. 1
Psalms 34:15Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, 2 na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao. 1
Psalms 129:2wamenionea mno tangu ujana wangu, 2 lakini bado hawajanishinda. 1
1 Peter 3:12Kwa maana macho ya Bwana 2 huwaelekea wenye haki, 1 na masikio yake yako makini 2 kusikiliza maombi yao. 1 Bali uso wa Bwana uko kinyume 2 na watendao maovu.” 1 Kuvumilia Mateso