Ezra 7:15
Zaidi ya hayo, uchukue pamoja nawe fedha na dhahabu ambazo mfalme na washauri wake wamempa Mungu wa Israeli kwa hiari, Mungu ambaye maskani yake yako Yerusalemu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Chronicles 29:6Ndipo viongozi wa jamaa, maafisa wa kabila za Israeli, majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia, pamoja na maafisa waliokuwa wasimamizi wa kazi za mfalme wakatoa kwa hiari yao.
2 Chronicles 6:2Nimejenga Hekalu zuri kwa ajili yako, mahali pako pa kukaa milele.”
2 Chronicles 32:23Watu wengi wakaleta sadaka Yerusalemu kwa ajili ya Bwana na zawadi za thamani kwa ajili ya Hezekia mfalme wa Yuda. Tangu hapo na kuendelea, Hezekia aliheshimiwa sana na mataifa yote. 1 Kiburi Cha Hezekia, Mafanikio Na Kifo (2 Wafalme 20:1-3, 12-19; Isaya 38:1-3; 39:1-8)
Ezra 6:4kuta zijengwe kwa safu tatu za mawe makubwa kisha ifuate safu moja ya mbao. Gharama zitalipwa kutoka hazina ya mfalme.
Ezra 6:12Naye Mungu, aliyeliweka Jina lake huko, amwangushe mfalme yeyote au watu watakaoinua mikono kubadili amri hii au kuharibu Hekalu hili lililoko Yerusalemu. Mimi Dario nimetoa amri hii. Nayo itekelezwe kwa bidii na kwa makini. 1 Jengo Linakamilika Na Kuwekwa Wakfu
Psalms 9:11Mwimbieni Bwana sifa, amefanywa mtawala Sayuni, 2 tangazeni miongoni mwa mataifa, yale aliyoyatenda. 1