Ezra 8:19
Naye Hashabia, pamoja na Yeshaya kutoka wazao wa Merari na ndugu zake na wapwa wake wanaume ishirini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Hashabiah, and with him Jeshaiah of the sons of Merari, his brethren and their sons, twenty;
In Context
Cross References
1 Chronicles 6:1Wana wa Lawi walikuwa: 2 Gershoni, Kohathi na Merari. 1
1 Chronicles 6:19Wana wa Merari walikuwa: 2 Mahli na Mushi. 1 Zifuatazo ni koo za Walawi zilizoorodheshwa kufuatana na baba zao: 1
Nehemiah 10:11Mika, Rehobu, Hashabia, 1