bible.software › Genesis › Genesis 1 › Genesis 1:15
Genesis 1:15
nayo iwe mianga kwenye nafasi ya anga ya kutia nuru juu ya dunia.” Ikawa hivyo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And let them be for lights in the firmament of the heaven to give light upon the earth: and it was so.
In Context
14Mungu akasema, “Iwepo mianga kwenye nafasi ya anga ili itenganishe usiku na mchana, nayo iwe alama ya kutambulisha majira mbalimbali, siku na miaka,
16Mungu akafanya mianga miwili mikubwa: mwanga mkubwa utawale mchana, na mwanga mdogo utawale usiku. Pia Mungu akafanya nyota.
Read all of Genesis 1
Cross References
Genesis 1:7Kwa hiyo Mungu akafanya nafasi, akatenganisha maji yaliyo chini ya hiyo nafasi na maji yaliyo juu yake. Ikawa hivyo.
This Verse In Other Editions
Study Genesis 1:15