The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 1 › Genesis 1:29

Genesis 1:29

Kisha Mungu akasema, “Nimewapa kila mche utoao mbegu juu ya uso wa dunia yote, na kila mti wenye matunda yenye mbegu ndani yake. Vitakuwa chakula chenu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And God said, Behold, I have given you every herb bearing seed, which is upon the face of all the earth, and every tree, in the which is the fruit of a tree yielding seed; to you it shall be for meat.

In Context

28Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze tena dunia na kuitiisha. Mkatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kiendacho juu ya ardhi.”

30Nao wanyama wote wa dunia, ndege wote wa angani, na viumbe vyote viendavyo juu ya ardhi: yaani kila kiumbe chenye pumzi ya uhai, ninawapa kila mche wa kijani kuwa chakula.” Ikawa hivyo.

Read all of Genesis 1

Cross References

Genesis 6:21Utachukua kila aina ya chakula kitakacholiwa, na ukiweke akiba kama chakula kwa ajili yako na yao.”

Job 36:31Hivi ndivyo atawalavyo mataifa, 2 na kuwapa chakula kwa wingi. 1

Psalms 104:14Huyafanya majani ya mifugo yaote, 2 na mimea kwa watu kulima, 2 wajipatie chakula kutoka ardhini: 1

Psalms 111:5Huwapa chakula wale wanaomcha, 2 hulikumbuka agano lake milele. 1

Psalms 136:25Ambaye humpa chakula kila kiumbe. Fadhili zake zadumu milele. 1

Psalms 146:7Naye huwapatia haki walioonewa 2 na kuwapa wenye njaa chakula. 1 Bwana huwaweka wafungwa huru, 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 1:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 1:28Genesis 1Genesis 1:30 →