Ayubu 36:31
Hivi ndivyo atawalavyo mataifa, 2 na kuwapa chakula kwa wingi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For by them judgeth he the people; he giveth meat in abundance.
In Context
30Tazama jinsi anavyotandaza umeme wa radi kumzunguka, 2 naye huvifunika vilindi vya bahari. 1
32Huujaza mkono wake kwa umeme wa radi, 2 na kuuagiza kulenga shabaha yake. 1
Cross References
Genesis 7:17Kwa siku arobaini mafuriko yaliendelea kujaa duniani na maji yalivyozidi kuongezeka, yaliinua safina juu sana kutoka kwenye uso wa nchi.
Exodus 9:23Mose alipoinyoosha fimbo yake kuelekea angani, Bwana akatuma ngurumo na mvua ya mawe, umeme wa radi ulimulika hadi nchi. Kwa hiyo Bwana akaifanya mvua ya mawe kunyesha juu ya nchi ya Misri,
Deuteronomy 8:15Aliwaongoza kupitia jangwa lile kubwa na la kutisha, nchi ile ya kiu isiyo na maji, yenye nyoka wa sumu na nge. Aliwatolea maji kutoka kwenye mwamba mgumu.
1 Samuel 2:10wale wampingao Bwana 2 wataharibiwa kabisa. 1 Atapiga radi dhidi yao kutoka mbinguni; 2 Bwana ataihukumu miisho ya dunia. 1 “Atampa nguvu mfalme wake, 2 na kuitukuza pembe 2 ya mpakwa mafuta wake.”
1 Samuel 12:18Kisha Samweli akamwomba Bwana, na siku ile ile Bwana akatuma ngurumo na mvua. Hivyo watu wote wakamwogopa sana Bwana na Samweli.
Job 38:22“Je, umeshawahi kuingia katika ghala za theluji, 2 au kuona ghala za mvua ya mawe, 1