Genesis 1:8
Mungu akaiita hiyo nafasi “anga.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya pili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And God called the firmament Heaven. And the evening and the morning were the second day.
In Context
Cross References
Genesis 1:5Mungu akaiita nuru “mchana,” na giza akaliita “usiku.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza.
Genesis 1:13Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tatu.
Genesis 1:23Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tano.
Genesis 5:2Aliwaumba mwanaume na mwanamke, akawabariki. Walipokwisha kuumbwa, akawaita “mwanadamu.”
Zechariah 12:1Hili ni neno la Bwana kuhusu Israeli. Bwana, yeye azitandaye mbingu, awekaye misingi ya dunia na aiumbaye roho ya mwanadamu ndani yake, asema: