Genesis 1:5
Mungu akaiita nuru “mchana,” na giza akaliita “usiku.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya kwanza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Mungu akaona ya kuwa nuru ni njema, ndipo Mungu akatenganisha nuru na giza.
6Mungu akasema, “Iwepo nafasi kati ya maji igawe maji na maji.”
Cross References
Genesis 1:13Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tatu.
Genesis 1:23Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tano.
Genesis 8:22“Kwa muda dunia idumupo, 1 wakati wa kupanda na wa kuvuna, 1 wakati wa baridi na wa joto, 1 wakati wa kiangazi na wa masika, 1 usiku na mchana 1 kamwe havitakoma.”
Psalms 74:16Mchana ni wako, nao usiku ni wako pia, 2 uliziweka jua na mwezi. 1
Isaiah 45:7Mimi ninaumba nuru na kuhuluku giza, 2 ninaleta mafanikio na kusababisha maafa. 2 Mimi, Bwana, huyatenda haya yote. 1
1 Corinthians 3:13kazi yake itaonekana ilivyo, kwa kuwa Siku ile itaidhihirisha. Itadhihirishwa kwa moto, nao moto utapima ubora wa kazi ya kila mtu.