bible.software › Genesis › Genesis 1 › Genesis 1:23
Genesis 1:23
Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tano.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the evening and the morning were the fifth day.
In Context
22Mungu akavibariki, akasema, “Zaeni mwongezeke, mkayajaze maji ya bahari, nao ndege waongezeke katika dunia.”
24Mungu akasema, “Ardhi na itoe viumbe hai kulingana na aina zake: wanyama wa kufugwa, viumbe vitambaavyo ardhini na wanyama pori, kila mnyama kulingana na aina yake.” Ikawa hivyo.
Read all of Genesis 1
Cross References
Genesis 1:8Mungu akaiita hiyo nafasi “anga.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya pili.
Mark 14:30Yesu akamwambia, “Amin, nakuambia; leo, usiku huu, kabla jogoo hajawika mara mbili, wewe mwenyewe utanikana mara tatu.”
This Verse In Other Editions
Study Genesis 1:23