Genesis 10:11
Kutoka nchi ile alikwenda Ashuru, ambako alijenga Ninawi, Rehoboth-iri, Kala,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Out of that land went forth Asshur, and builded Nineveh, and the city Rehoboth, and Calah,
In Context
10Vituo vyake vya kwanza katika ufalme wake vilikuwa Babeli, Ereki, Akadi na Kalne katika Shinari.
12na Reseni, iliyo kati ya Ninawi na Kala; huo ndio mji mkubwa. 1
Cross References
Numbers 24:22Hata hivyo ninyi Wakeni mtaangamizwa 2 Ashuru atakapowachukua mateka.”
2 Kings 19:36Basi Senakeribu mfalme wa Ashuru akavunja kambi na kuondoka. Akarudi Ninawi na kukaa huko.
Psalms 83:8Hata Ashuru wameungana nao 2 kuwapa nguvu wazao wa Loti. 1
Ezekiel 27:23“ ‘Harani, Kane na Edeni na wafanyabiashara wa Sheba, Ashuru na Kilmadi walifanya biashara nawe.
Hosea 14:3Ashuru hawezi kutuokoa, 2 hatutapanda farasi wa vita. 1 Kamwe hatutasema tena ‘Miungu yetu’ 2 kwa kile ambacho mikono yetu wenyewe imetengeneza, 2 kwa kuwa kwako wewe yatima hupata huruma.” 1
Jonah 3:1Ndipo neno la Bwana likamjia Yona mara ya pili: