Genesis 10:12
na Reseni, iliyo kati ya Ninawi na Kala; huo ndio mji mkubwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Resen between Nineveh and Calah: the same is a great city.
In Context
11Kutoka nchi ile alikwenda Ashuru, ambako alijenga Ninawi, Rehoboth-iri, Kala,
13Misraimu alikuwa baba wa: 2 Waludi, Waanami, Walehabi, Wanaftuhi,
Cross References
Ezekiel 32:26“Mesheki na Tubali wako humo, pamoja na makundi yao ya wajeuri wakiwa wameyazunguka makaburi yao. Wote hawakutahiriwa, wameuawa kwa upanga kwa sababu walieneza vitisho vyao katika nchi ya walio hai.