Genesis 10:2
Wana wa Yafethi walikuwa: 2 Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The sons of Japheth; Gomer, and Magog, and Madai, and Javan, and Tubal, and Meshech, and Tiras.
In Context
3Wana wa Gomeri walikuwa: 2 Ashkenazi, Rifathi na Togarma. 1
Cross References
1 Chronicles 1:5Wana wa Yafethi walikuwa: 2 Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi. 1
Ezekiel 27:7Kitani safi kilichotariziwa kutoka Misri kilikuwa tanga lako, 2 nacho kilikuwa bendera yako; 1 chandarua chako kilikuwa cha rangi ya buluu na ya zambarau 2 kutoka visiwa vya Elisha. 1
Ezekiel 27:13“ ‘Uyunani, Tubali na Mesheki, walifanya biashara nawe, walibadilisha watumwa na vyombo vya shaba kwa bidhaa zako.
Ezekiel 38:2“Mwanadamu, kaza uso wako dhidi ya Gogu, katika nchi ya Magogu, mkuu wa Roshi, Mesheki na Tubali, tabiri dhidi yake
Ezekiel 38:15Utakuja kutoka kwako huko kaskazini ya mbali, ukiwa pamoja na mataifa mengi, wote wakiwa wamepanda farasi, kundi kubwa, jeshi kuu.
Revelation 20:8naye atatoka ili kuyadanganya mataifa yaliyopo katika pembe nne za dunia, yaani, Gogu na Magogu apate kuwakusanya tayari kwa vita. Idadi yao ni kama mchanga ulioko pwani.