The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 10 › Genesis 10:4

Genesis 10:4

Wana wa Yavani walikuwa: 2 Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the sons of Javan; Elishah, and Tarshish, Kittim, and Dodanim.

In Context

3Wana wa Gomeri walikuwa: 2 Ashkenazi, Rifathi na Togarma. 1

5(Kutokana na hawa mataifa ya Pwani yalienea katika nchi zao, kwa koo zao katika mataifa yao, kila moja kwa lugha yake.) 2 Wazao Wa Hamu 1

Read all of Genesis 10

Cross References

Isaiah 23:1Neno kuhusu Tiro: 1 Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi! 2 Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, 2 imeachwa bila nyumba wala bandari. 1 Kuanzia nchi ya Kitimu + 23:1 Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania. 2 neno limewajia. 1

Ezekiel 27:6Walichukua mialoni toka Bashani 2 wakakutengenezea makasia yako; 1 kwa miti ya msanduku 2 kutoka pwani ya Kitimu 1 wakatengeneza sitaha + 27:6 Yaani sakafu ya merikebu au mashua. yako 2 na kuipamba kwa pembe za ndovu. 1

Ezekiel 27:25“ ‘Merikebu za Tarshishi ndizo 2 zinazokusafirishia bidhaa zako. 1 Umejazwa shehena kubwa 2 katika moyo wa bahari. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 10:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 10:3Genesis 10Genesis 10:5 →