Genesis 10:8
Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Cush begat Nimrod: he began to be a mighty one in the earth.
In Context
Cross References
Genesis 2:13Jina la mto wa pili ni Gihoni, ambao huzunguka nchi yote ya Kushi.
Micah 5:6Wataitawala nchi ya Ashuru kwa upanga, 2 nchi ya Nimrodi kwa upanga. 1 Atatuokoa kutoka kwa Mwashuru 2 atakapoivamia nchi yetu 2 na kuingia katika mipaka yetu. 1