The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 10 › Genesis 10:7

Genesis 10:7

Wana wa Kushi walikuwa: 2 Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka. 1 Wana wa Raama walikuwa: 2 Sheba na Dedani.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the sons of Cush; Seba, and Havilah, and Sabtah, and Raamah, and Sabtechah: and the sons of Raamah; Sheba, and Dedan.

In Context

6Wana wa Hamu walikuwa: 2 Kushi, Misraimu, + 10:6 Yaani Misri . Putu na Kanaani. 1

8Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani.

Read all of Genesis 10

Cross References

Genesis 2:11Mto wa kwanza uliitwa Pishoni, nao huzunguka nchi yote ya Havila ambako kuna dhahabu.

Job 1:15Waseba wakawashambulia na kuchukua mifugo. Kisha wakawaua watumishi kwa upanga, nami ndimi peke yangu niliyenusurika kukuletea habari!”

Isaiah 21:13Neno kuhusu Arabia: 1 Enyi misafara ya Wadedani, 2 mnaopiga kambi katika vichaka vya Arabia, 1

Ezekiel 27:20“ ‘Dedani alifanya biashara nawe kwa matandiko ya farasi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 10:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 10:6Genesis 10Genesis 10:8 →