The Bible Software
bible.softwareMicahMicah 5 › Micah 5:6

Micah 5:6

Wataitawala nchi ya Ashuru kwa upanga, 2 nchi ya Nimrodi kwa upanga. 1 Atatuokoa kutoka kwa Mwashuru 2 atakapoivamia nchi yetu 2 na kuingia katika mipaka yetu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they shall waste the land of Assyria with the sword, and the land of Nimrod in the entrances thereof: thus shall he deliver us from the Assyrian, when he cometh into our land, and when he treadeth within our borders.

In Context

5Naye atakuwa amani yao. 1 Ukombozi Na Uharibifu 1 Wakati Mwashuru atakapovamia nchi yetu 2 na kupita katika ngome zetu, 1 tutawainua wachungaji saba dhidi yake, 2 hata viongozi wanane wa watu. 1

7Mabaki ya Yakobo yatakuwa 2 katikati ya mataifa mengi 1 kama umande kutoka kwa Bwana, 2 kama manyunyu juu ya majani, 1 ambayo hayamngoji mtu 2 wala kukawia kwa mwanadamu. 1

Read all of Micah 5

Cross References

Genesis 10:8Kushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani.

2 Kings 15:29Wakati wa utawala wa Peka mfalme wa Israeli, Tiglath-Pileseri mfalme wa Ashuru alikuja na kuteka Iyoni, Abel-Beth-Maaka, Yanoa, Kedeshi na Hazori. Akateka miji ya Gileadi na Galilaya, pamoja na nchi yote ya Naftali, na kuwahamishia watu wote Ashuru.

2 Kings 18:9Mwaka wa nne wa Mfalme Hezekia, ambao ulikuwa mwaka wa saba wa Hoshea mwana wa Ela kutawala Israeli, Shalmanesa mfalme wa Ashuru alikwenda kuishambulia Samaria na kuuzunguka kwa majeshi.

1 Chronicles 1:10Kushi akamzaa 2 Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa katika nchi. 1

Job 29:22Baada ya mimi kuzungumza, hawakusema zaidi; 2 maneno yangu yaliingia masikioni mwao kwa makini. 1

Psalms 110:3Askari wako watajitolea kwa hiari 2 katika siku yako ya vita. 1 Ukiwa umevikwa fahari takatifu, 2 kutoka tumbo la mapambazuko 2 utapokea umande wa ujana wako. + 110:3 Au: vijana wako watakujia kama umande. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Micah 5:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Micah 5:5Micah 5Micah 5:7 →