Genesis 27:25
Kisha akasema, “Mwanangu, niletee sehemu ya mawindo yako nile, ili nipate kukubariki.” Yakobo akamletea naye akala, akamletea na divai akanywa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Akamuuliza, “Hivi kweli wewe ni mwanangu Esau?” Akajibu, “Mimi ndiye.”
26Kisha Isaki baba yake akamwambia, “Njoo hapa, mwanangu, unibusu.”