Numbers 13:29
Waamaleki wanaishi Negebu; Wahiti, Wayebusi na Waamori wanaishi katika nchi ya vilima; nao Wakanaani wanaishi karibu na bahari na kando ya Yordani.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 14:7Kisha wakarudi wakaenda En-Misfati (yaani Kadeshi), wakashinda nchi yote ya Waamaleki, pamoja na Waamori waliokuwa wakiishi Hasason-Tamari.
Genesis 15:20Wahiti, Waperizi, Warefai,
Exodus 3:8Basi nimeshuka niwaokoe kutoka mkono wa Wamisri, niwatoe na kuwapandisha kutoka nchi hiyo, niwapeleke katika nchi nzuri na kubwa, nchi itiririkayo maziwa na asali, nchi ya Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.
Exodus 17:8Waamaleki wakaja na kuwashambulia Waisraeli huko Refidimu.
Numbers 14:43kwa kuwa Waamaleki na Wakanaani watapambana nanyi huko. Kwa sababu mmemwacha Bwana, hatakuwa pamoja nanyi, ninyi mtaanguka kwa upanga.”
Numbers 24:20Kisha Balaamu akawaona watu wa Amaleki, na kutoa ujumbe wake: 1 “Amaleki ilikuwa ya kwanza miongoni mwa mataifa, 2 lakini mwisho wake itaangamizwa milele.”