Genesis 2:25
Adamu na mkewe wote wawili walikuwa uchi, wala hawakuona aibu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they were both naked, the man and his wife, and were not ashamed.
In Context
Cross References
Genesis 3:7Ndipo macho yao wote wawili yakafumbuliwa, wakajiona kwamba walikuwa uchi; hivyo wakashona majani ya mtini, wakajifunika.
Exodus 32:25Mose akaona kuwa watu wameasi, kwa kuwa Aroni alikuwa amewaacha waasi, na hivyo kuwa kichekesho kwa adui zao.
Psalms 31:17Usiniache niaibike, Ee Bwana, 2 kwa maana nimekulilia wewe, 1 bali waovu waaibishwe 2 na kunyamazishwa Kuzimu. 1
Isaiah 47:3Uchi wako utafunuliwa 2 na aibu yako itaonekana. 1 Nitalipa kisasi; 2 sitamhurumia hata mmoja.” 1
Jeremiah 6:15Je, wanaona aibu kwa ajili ya tabia yao 2 inayochukiza mno? 1 Hapana, hawana aibu hata kidogo; 2 hawajui hata kuona haya. 1 Kwa hiyo wataanguka miongoni mwa hao walioanguka, 2 watashushwa chini nitakapowaadhibu,” 4 asema Bwana.
Ezekiel 16:61Ndipo utakapozikumbuka njia zako na kuona aibu utakapowapokea dada zako, wale walio wakubwa wako na wadogo wako. Nitakupa hao wawe binti zako, lakini si katika msingi wa Agano langu na wewe.