Isaiah 47:3
Uchi wako utafunuliwa 2 na aibu yako itaonekana. 1 Nitalipa kisasi; 2 sitamhurumia hata mmoja.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Mkombozi wetu: Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake; 2 ndiye yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Cross References
Deuteronomy 32:41wakati ninapounoa upanga wangu unaometameta 2 na mkono wangu unapoushika ili kutoa hukumu, 1 nitalipiza kisasi juu ya adui zangu 2 na kuwalipiza wale wanaonichukia. 1
Psalms 137:8Ee binti Babeli, uliyehukumiwa kuangamizwa, 2 heri yeye atakayekulipiza wewe 2 kwa yale uliyotutenda sisi: 1
Isaiah 34:1Njooni karibu, enyi mataifa, nanyi msikilize; 2 sikilizeni kwa makini, 2 enyi kabila za watu! 1 Dunia na isikie, navyo vyote vilivyo ndani yake, 2 ulimwengu na vyote vitokavyo ndani yake! 1
Isaiah 59:17Alivaa haki kama dirii kifuani mwake, 2 na chapeo ya wokovu kichwani mwake, 1 alivaa mavazi ya kisasi 2 naye akajifunga wivu kama joho. 1
Jeremiah 13:22Nawe kama ukijiuliza, 2 “Kwa nini haya yamenitokea?” 1 Ni kwa sababu ya dhambi zako nyingi 2 ndipo marinda yako yameraruliwa 2 na mwili wako umetendewa vibaya. 1
Jeremiah 50:27Waueni mafahali wake wachanga wote; 2 waacheni washuke machinjoni! 1 Ole wao! Kwa kuwa siku yao imewadia, 2 wakati wao wa kuadhibiwa. 1