The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 20 › Genesis 20:16

Genesis 20:16

Akamwambia Sara, “Ninampa kaka yako shekeli elfu moja za fedha. Hii ni kufidia kosa lililofanyika dhidi yako mbele ya wote walio pamoja nawe; haki yako imethibitishwa kabisa.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And unto Sarah he said, Behold, I have given thy brother a thousand pieces of silver: behold, he is to thee a covering of the eyes, unto all that are with thee, and with all other: thus she was reproved.

In Context

15Abimeleki akasema, “Nchi yangu iko mbele yako, ishi popote unapotaka.”

17Kisha Abrahamu akamwomba Mungu, naye Mungu akamponya Abimeleki, mke wake, na watumwa wake wa kike kwamba waweze kupata watoto tena,

Read all of Genesis 20

Cross References

Genesis 20:5Hakusema kwangu, ‘Huyu ni dada yangu,’ naye Sara pia hakusema, ‘Huyu ni kaka yangu’? Nimefanya haya kwa dhamiri njema na mikono safi.”

Genesis 26:11Hivyo Abimeleki akatoa amri kwa watu wote, akisema, “Yeyote atakayemnyanyasa mtu huyu au mkewe hakika atauawa.”

Proverbs 9:8Usimkemee mwenye mzaha la sivyo atakuchukia; 2 mkemee mwenye hekima naye atakupenda. 1

Proverbs 25:12Kama vile kipuli cha dhahabu 2 au pambo la dhahabu safi, 1 ndivyo lilivyo karipio la mtu mwenye hekima 2 kwa sikio lisikilizalo. 1

Jonah 1:6Nahodha akamwendea na kusema, “Wewe unawezaje kulala? Amka ukamwite mungu wako! Huenda akatuangalia, tusiangamie.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 20:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 20:15Genesis 20Genesis 20:17 →