Jonah 1:6
Nahodha akamwendea na kusema, “Wewe unawezaje kulala? Amka ukamwite mungu wako! Huenda akatuangalia, tusiangamie.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Esther 4:16“Nenda, kusanya pamoja Wayahudi wote walioko Shushani, nanyi mfunge kwa ajili yangu. Msile wala kunywa kwa siku tatu, usiku na mchana. Mimi na wajakazi wangu tutafunga kama mnavyofanya. Baada ya kufanyika hili, nitakwenda kwa mfalme, hata ingawa ni kinyume cha sheria. Ikiwa ni kuangamia na niangamie.”
Psalms 107:6Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, 2 naye akawaokoa kutoka taabu yao. 1
Psalms 107:18Wakachukia kabisa vyakula vyote, 2 wakakaribia malango ya mauti. 1
Isaiah 3:15Mnamaanisha nini kuwaponda watu wangu 2 na kuzisaga nyuso za maskini?” 4 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1
Ezekiel 18:2“Je, ninyi watu mna maana gani kutumia mithali hii inayohusu nchi ya Israeli: 1 “ ‘Baba wamekula zabibu zenye chachu, 2 nayo meno ya watoto yametiwa ganzi’?
Amos 5:15Yachukieni maovu, yapendeni mema; 2 dumisheni haki mahakamani. 1 Yamkini Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote 2 atawahurumia mabaki ya Yosefu.