Proverbs 25:12
Kama vile kipuli cha dhahabu 2 au pambo la dhahabu safi, 1 ndivyo lilivyo karipio la mtu mwenye hekima 2 kwa sikio lisikilizalo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As an earring of gold, and an ornament of fine gold, so is a wise reprover upon an obedient ear.
In Context
Cross References
1 Samuel 25:31bwana wangu hatakuwa na dhamiri inayolemewa na mzigo kwa kumwaga damu kusiko na sababu, au kujilipizia kisasi yeye mwenyewe. Bwana atakapomletea bwana wangu mafanikio, umkumbuke mtumishi wako.”
Psalms 141:5Mtu mwenye haki na anipige: ni jambo la huruma; 2 na anikemee: ni mafuta kichwani mwangu. 2 Kichwa changu hakitalikataa. 1 Hata hivyo, maombi yangu daima 2 ni kinyume cha watenda mabaya, 1
Proverbs 9:8Usimkemee mwenye mzaha la sivyo atakuchukia; 2 mkemee mwenye hekima naye atakupenda. 1
Proverbs 15:31Yeye asikilizaye maonyo yatoayo uzima 2 atakuwa miongoni mwa wenye hekima. 1
Proverbs 27:5Afadhali karipio la wazi 2 kuliko upendo uliofichika. 1