Genesis 22:15
Basi malaika wa Bwana akamwita Abrahamu kutoka mbinguni mara ya pili,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the angel of the LORD called unto Abraham out of heaven the second time,
In Context
Cross References
Genesis 16:10Malaika akaendelea akasema, “Nitazidisha wazao wako, hivi kwamba watakuwa wengi mno wasiohesabika.”
Genesis 31:11Malaika wa Mungu akaniambia katika ndoto, ‘Yakobo.’ Nikamjibu, ‘Mimi hapa.’
Exodus 3:2Huko malaika wa Bwana akamtokea Mose katika mwali wa moto kutoka kichakani. Mose akaona kwamba ingawa kile kichaka kilikuwa kinawaka moto, kilikuwa hakiteketei.
Isaiah 45:23Nimeapa kwa nafsi yangu, 2 kinywa changu kimenena katika uadilifu wote 2 neno ambalo halitatanguka: 1 Kila goti litapigwa mbele zangu, 2 kwangu mimi kila ulimi utaapa. 1
Zechariah 12:8Katika siku hiyo, Bwana atawakinga wale waishio Yerusalemu, ili kwamba aliye dhaifu kupita wote miongoni mwao awe kama Daudi, nayo nyumba ya Daudi itakuwa kama Mungu, kama Malaika wa Bwana akiwatangulia.
Hebrews 6:13Mungu alipompa Abrahamu ahadi yake, kwa kuwa hakuwepo mwingine aliyekuwa mkuu kuliko yeye ambaye angeweza kuapa kwa jina lake, aliapa kwa nafsi yake,