The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 22 › Genesis 22:9

Genesis 22:9

Walipofika mahali pale alipokuwa ameambiwa na Mungu, Abrahamu akajenga madhabahu hapo, akaziweka kuni juu yake. Akamfunga Isaki mwanawe na akamlaza kwenye madhabahu, juu ya zile kuni.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they came to the place which God had told him of; and Abraham built an altar there, and laid the wood in order, and bound Isaac his son, and laid him on the altar upon the wood.

In Context

8Abrahamu akajibu, “Mwanangu, Mungu mwenyewe atajipatia mwana-kondoo kwa ajili ya hiyo sadaka ya kuteketezwa.” Nao hawa wawili wakaendelea mbele pamoja.

10Kisha akanyoosha mkono wake na akachukua kisu ili amchinje mwanawe.

Read all of Genesis 22

Cross References

Genesis 8:20Kisha Noa akamjengea Bwana madhabahu, akachukua baadhi ya wale wanyama na ndege wote walio safi, akatoa sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu.

Genesis 22:2Kisha Mungu akamwambia, “Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, Isaki umpendaye, uende katika nchi ya Moria. Mtoe huko kama sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia.”

Isaiah 53:4Hakika alichukua udhaifu wetu 2 na akajitwika huzuni zetu, 1 hata hivyo tulidhania kuwa amepigwa na Mungu, 2 akapigwa sana naye, na kuteswa. 1

Matthew 26:1Yesu alipomaliza kusema hayo yote, akawaambia wanafunzi wake,

Mark 15:1Asubuhi na mapema, viongozi wa makuhani, pamoja na wazee, walimu wa sheria na Baraza lote, wakafikia uamuzi. Wakamfunga Yesu, wakamchukua na kumkabidhi kwa Pilato.

Acts 8:32Huyu towashi alikuwa anasoma fungu hili la Maandiko: 1 “Aliongozwa kama kondoo aendaye machinjoni, 2 kama mwana-kondoo anyamazavyo 1 mbele yake yule amkataye manyoya, 2 hivyo hakufungua kinywa chake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 22:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 22:8Genesis 22Genesis 22:10 →