Isaiah 53:4
Hakika alichukua udhaifu wetu 2 na akajitwika huzuni zetu, 1 hata hivyo tulidhania kuwa amepigwa na Mungu, 2 akapigwa sana naye, na kuteswa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 7:45fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa;
Psalms 69:26Kwa kuwa wanawatesa wale uliowajeruhi, 2 na kuzungumza juu ya maumivu ya wale uliowaumiza. 1
Isaiah 53:5Lakini alitobolewa kwa ajili ya makosa yetu, 2 alichubuliwa kwa ajili ya maovu yetu; 1 adhabu iliyotuletea sisi amani ilikuwa juu yake, 2 na kwa majeraha yake sisi tumepona. 1
Matthew 8:17Haya yalifanyika ili litimie lile lililonenwa kwa kinywa cha nabii Isaya kwamba: 1 “Mwenyewe alitwaa udhaifu wetu 2 na alichukua magonjwa yetu.” 1 Gharama Ya Kumfuata Yesu (Luka 9:57-62)
John 19:7Wayahudi wakamjibu, “Sisi tunayo sheria na kutokana na sheria hiyo, hana budi kufa kwa sababu yeye alijiita Mwana wa Mungu.”
Hebrews 9:28vivyo hivyo Kristo alitolewa mara moja tu kuwa dhabihu ili azichukue dhambi za watu wengi. Naye atakuja mara ya pili, sio kuchukua dhambi, bali kuwaletea wokovu wale wanaomngoja kwa shauku.