Genesis 24:1
Wakati huu Abrahamu alikuwa mzee mwenye miaka mingi, naye Bwana alikuwa amembariki katika kila njia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Abraham was old, and well stricken in age: and the LORD had blessed Abraham in all things.
In Context
Cross References
Genesis 13:2Wakati huo Abramu alikuwa tajiri sana wa mifugo, fedha na dhahabu.
Genesis 21:5Abrahamu alikuwa na miaka 100 wakati Isaki mwanawe alipozaliwa.
Genesis 25:20Isaki alikuwa na umri wa miaka arobaini alipomwoa Rebeka binti Bethueli Mwaramu kutoka Padan-Aramu, nduguye Labani Mwaramu.
1 Kings 1:1Mfalme Daudi alipokuwa mzee umri ukiwa umesogea, hakuweza kupata joto hata walipomfunika kwa nguo.
Proverbs 10:22Baraka ya Bwana hutajirisha, 2 wala haichanganyi huzuni. 1
Matthew 6:33Lakini utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake, na haya yote atawapa pia.