Genesis 24:48
nikasujudu na nikamwabudu Bwana. Nikamtukuza Bwana, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, aliyeniongoza katika njia sahihi ili nimtwalie mwana na bwana wangu mke katika jamaa zake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 24:26Yule mtumishi akasujudu na kumwabudu Bwana,
Exodus 18:20Uwafundishe amri na sheria, tena uwaonyeshe namna ya kuishi na kazi zinazowapasa wao kufanya.
Psalms 32:8Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea; 2 nitakushauri na kukuangalia. 1
Psalms 107:7Akawaongoza kwa njia iliyo sawa 2 hadi mji ambao wangeweza kuishi. 1
Proverbs 4:11Ninakuongoza katika njia ya hekima 2 na kukuongoza katika mapito yaliyonyooka. 1