Proverbs 4:11
Ninakuongoza katika njia ya hekima 2 na kukuongoza katika mapito yaliyonyooka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I have taught thee in the way of wisdom; I have led thee in right paths.
In Context
10Sikiliza mwanangu, kubali ninachokuambia, 2 nayo miaka ya maisha yako itakuwa mingi. 1
12Utembeapo, hatua zako hazitazuiliwa; 2 ukimbiapo, hutajikwaa. 1
Cross References
1 Samuel 12:23Kwa habari yangu, iwe mbali nami kutenda dhambi dhidi ya Bwana kwa kushindwa kuwaombea. Mimi nitawafundisha njia iliyo njema na ya kunyooka.
Psalms 25:4Nionyeshe njia zako, Ee Bwana, 2 nifundishe mapito yako, 1
Proverbs 4:4baba alinifundisha akisema, 2 “Yashike maneno yangu yote kwa moyo wako wote; 2 yashike maagizo yangu na wewe utaishi. 1
Proverbs 8:9Kwa wenye kupambanua yote ni sahihi; 2 hayana kasoro kwa wale wenye maarifa. 1
Ecclesiastes 12:9Mhubiri hakuwa tu na hekima, bali aliwagawia watu maarifa pia. Alitafakari na kutafiti na akaweka katika utaratibu mithali nyingi.