Mwanzo 24:5
Yule mtumishi akamuuliza, “Je, kama huyo mwanamke atakataa kuja nami katika nchi hii? Je, nimpeleke mwanao katika hiyo nchi uliyotoka?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4bali utakwenda katika nchi yangu na jamaa zangu umpatie Isaki mwanangu mke.”
6Abrahamu akasema, “Hakikisha kwamba hutamrudisha mwanangu huko.
Cross References
Genesis 24:58Kwa hiyo wakamwita Rebeka na kumuuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Akasema, “Nitakwenda.”
Exodus 20:7Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, kwa kuwa Bwana hataacha kumhesabia hatia yeye alitajaye jina lake bure. 1
Jeremiah 4:2ikiwa kwa kweli, kwa haki na kwa unyofu utaapa, 2 ‘Kwa hakika kama vile Bwana aishivyo,’ 1 ndipo mataifa yatakapobarikiwa naye 2 na katika yeye watajitukuza.”