Yeremia 4:2
ikiwa kwa kweli, kwa haki na kwa unyofu utaapa, 2 ‘Kwa hakika kama vile Bwana aishivyo,’ 1 ndipo mataifa yatakapobarikiwa naye 2 na katika yeye watajitukuza.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 6:13Utamcha Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake na kuapa kwa jina lake.
1 Samuel 20:3Lakini Daudi akaapa na kusema, “Baba yako anajua kabisa kwamba nimepata kibali mbele yako, naye amesema moyoni mwake, ‘Yonathani sharti asilijue hili, la sivyo atahuzunika.’ Lakini kweli kama Bwana aishivyo na kama uishivyo, kuna hatua moja tu kati yangu na mauti.”
Psalms 72:17Jina lake na lidumu milele, 2 na lidumu kama jua. 1 Mataifa yote yatabarikiwa kupitia kwake, 2 nao watamwita aliyebarikiwa. 1
Isaiah 45:23Nimeapa kwa nafsi yangu, 2 kinywa changu kimenena katika uadilifu wote 2 neno ambalo halitatanguka: 1 Kila goti litapigwa mbele zangu, 2 kwangu mimi kila ulimi utaapa. 1
Isaiah 48:1“Sikilizeni hili, ee nyumba ya Yakobo, 2 ninyi mnaoitwa kwa jina la Israeli, 2 na mnaotoka katika ukoo wa Yuda, 1 ninyi mnaoapa kwa jina la Bwana, 2 mnaomwomba Mungu wa Israeli, 2 lakini si katika kweli au kwa haki; 1
Jeremiah 5:2Ingawa wanasema, ‘Kwa hakika kama Bwana aishivyo,’ 2 bado wanaapa kwa uongo.” 1