Mwanzo 26:14
Akawa na mifugo ya kondoo na ngʼombe, na watumishi wengi sana, kiasi kwamba Wafilisti wakamwonea wivu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Isaki akawa tajiri, mali zake zikaendelea kuongezeka mpaka akawa tajiri sana.
Cross References
Genesis 13:2Wakati huo Abramu alikuwa tajiri sana wa mifugo, fedha na dhahabu.
1 Samuel 18:9Kuanzia wakati ule na kuendelea Sauli akawa na jicho la wivu juu ya Daudi.
Job 5:2Kuweka uchungu moyoni humuua mpumbavu, 2 nao wivu humchinja mjinga. 1
Psalms 112:3Nyumbani mwake kuna mali na utajiri, 2 haki yake hudumu milele. 1
Psalms 144:13Ghala zetu zitajazwa 2 aina zote za mahitaji. 1 Kondoo zetu watazaa kwa maelfu, 2 kwa makumi ya maelfu katika mashamba yetu; 1
Proverbs 27:4Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, 2 lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? 1