Genesis 26:16
Ndipo Abimeleki akamwambia Isaki, “Ondoka kwetu, kwa maana umetuzidi nguvu sana.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Abimelech said unto Isaac, Go from us; for thou art much mightier than we.
In Context
17Basi Isaki akatoka huko akajenga kambi katika Bonde la Gerari, akaishi huko.
Cross References
Exodus 1:9Akawaambia watu wake, “Tazameni, Waisraeli wamekuwa wengi mno kwa idadi kutuliko sisi.