bible.software › Genesis › Genesis 26 › Genesis 26:17
Genesis 26:17
Basi Isaki akatoka huko akajenga kambi katika Bonde la Gerari, akaishi huko.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Isaac departed thence, and pitched his tent in the valley of Gerar, and dwelt there.
In Context
16Ndipo Abimeleki akamwambia Isaki, “Ondoka kwetu, kwa maana umetuzidi nguvu sana.”
18Ndipo Isaki akavichimbua tena vile visima vya maji ambavyo vilichimbwa siku zile za Abrahamu baba yake, ambavyo Wafilisti walivifukia baada ya kufa Abrahamu, akavipa majina yale yale ambayo baba yake alikuwa amevipa.
Read all of Genesis 26
This Verse In Other Editions
Study Genesis 26:17