The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 26 › Genesis 26:20

Genesis 26:20

Lakini wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaki wakisema, “Maji haya ni yetu!” Ndipo akakiita kile kisima Eseki, + 26:20 Eseki maana yake ni Ugomvi. kwa sababu waligombana naye.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the herdmen of Gerar did strive with Isaac’s herdmen, saying, The water is ours: and he called the name of the well Esek; because they strove with him.

In Context

19Watumishi wa Isaki wakachimba katika lile bonde wakagundua huko kisima chenye maji safi.

21Kisha wakachimba kisima kingine, lakini hata hicho pia wakakigombania, akakiita Sitna. + 26:21 Sitna maana yake Upinzani.

Read all of Genesis 26

Cross References

Genesis 21:25Ndipo Abrahamu akalalamika kwa Abimeleki kuhusu kisima cha maji ambacho watumishi wa Abimeleki walikuwa wamekinyangʼanya.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 26:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 26:19Genesis 26Genesis 26:21 →