Genesis 27:23
Hakumtambua, kwa sababu mikono yake ilikuwa na nywele kama ya ndugu yake Esau, kwa hiyo akambariki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Akamuuliza, “Hivi kweli wewe ni mwanangu Esau?” Akajibu, “Mimi ndiye.”
Cross References
Genesis 27:16Pia akamfunika mikononi na sehemu laini ya shingo kwa ngozi za mbuzi.
Hebrews 11:20Kwa imani Isaki alimbariki Yakobo na Esau kuhusu maisha yao ya baadaye.