The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 27 › Genesis 27:24

Genesis 27:24

Akamuuliza, “Hivi kweli wewe ni mwanangu Esau?” Akajibu, “Mimi ndiye.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he said, Art thou my very son Esau? And he said, I am.

In Context

23Hakumtambua, kwa sababu mikono yake ilikuwa na nywele kama ya ndugu yake Esau, kwa hiyo akambariki.

25Kisha akasema, “Mwanangu, niletee sehemu ya mawindo yako nile, ili nipate kukubariki.” Yakobo akamletea naye akala, akamletea na divai akanywa.

Read all of Genesis 27

Cross References

1 Samuel 21:13Basi akajifanya mwendawazimu mbele yao; naye alipokuwa mikononi mwao, alitenda kama kichaa, akikwaruza kwa kutia alama juu ya milango ya lango na kuachia udelele kutiririka kwenye ndevu zake.

2 Samuel 14:5Mfalme akamuuliza, “Una shida gani?” Akamwambia, “Mimi ni mjane hasa, mume wangu amekufa.

Job 13:7Je, mtazungumza kwa uovu kwa niaba ya Mungu? 2 Je, mtazungumza kwa udanganyifu kwa niaba yake? 1

Proverbs 12:19Midomo isemayo kweli hudumu milele, 2 bali ulimi wa uongo hudumu kwa muda mfupi tu. 1

Proverbs 30:8Uutenge mbali nami udanganyifu na uongo; 2 usinipe umaskini wala utajiri, 2 bali unipe chakula cha kunitosha kila siku. 1

Romans 3:7Mtu aweza kuuliza, “Kama uongo wangu unasaidia kuonyesha kweli ya Mungu na kuzidisha utukufu wake, kwa nini basi mimi nahukumiwa kuwa mwenye dhambi?”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 27:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 27:23Genesis 27Genesis 27:25 →