bible.software › Mwanzo › Mwanzo 27 › Mwanzo 27:26
Mwanzo 27:26
Kisha Isaki baba yake akamwambia, “Njoo hapa, mwanangu, unibusu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And his father Isaac said unto him, Come near now, and kiss me, my son.
In Context
25Kisha akasema, “Mwanangu, niletee sehemu ya mawindo yako nile, ili nipate kukubariki.” Yakobo akamletea naye akala, akamletea na divai akanywa.
27Kwa hiyo akamwendea akambusu. Isaki aliposikia harufu ya nguo zake, akambariki, akasema, 1 “Aha, harufu ya mwanangu 2 ni kama harufu ya shamba 2 ambalo Bwana amelibariki. 1
Read all of Mwanzo 27
Cross References
Genesis 29:11Kisha Yakobo akambusu Raheli na akaanza kulia kwa sauti.
Song of Solomon 1:2Unibusu kwa busu la kinywa chako, 2 kwa maana upendo wako unafurahisha kuliko divai. 1
This Verse In Other Editions
Study Mwanzo 27:26