The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 29 › Genesis 29:14

Genesis 29:14

Ndipo Labani akamwambia, “Wewe ni nyama yangu na damu yangu mwenyewe.” 1 Yakobo Awaoa Lea Na Raheli Baada ya Yakobo kukaa kwa Labani mwezi mzima,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Laban said to him, Surely thou art my bone and my flesh. And he abode with him the space of a month.

In Context

13Mara Labani aliposikia habari kuhusu Yakobo, mwana wa ndugu yake, aliharakisha kwenda kumlaki. Akamkumbatia na kumbusu, halafu akamleta nyumbani kwake, kisha Yakobo akamwambia mambo yote.

15Labani akamwambia, “Kwa vile wewe ni jamaa yangu, ndiyo sababu unifanyie kazi bila ujira? Niambie ujira wako utakuwa nini.”

Read all of Genesis 29

Cross References

Genesis 2:23Huyo mwanaume akasema, 1 “Huyu sasa ni mfupa wa mifupa yangu 2 na nyama ya nyama yangu, 1 ataitwa ‘mwanamke,’ + 2:23 Jina la Kiebrania la mwanamke linafanana na lile la mwanaume. 2 kwa kuwa alitolewa katika mwanaume.”

Genesis 29:12Yakobo alikuwa amemwambia Raheli kuwa yeye alikuwa jamaa ya baba yake, na kwamba ni mwana wa Rebeka. Basi Raheli alikimbia na kumweleza baba yake.

Genesis 37:27Njooni, tumuuze kwa hawa Waishmaeli. Tusimguse, kwa kuwa hata hivyo yeye ni ndugu yetu, nyama yetu na damu yetu wenyewe.” Ndugu zake wakakubali.

2 Samuel 5:1Makabila yote ya Israeli yakamjia Daudi huko Hebroni na kumwambia, “Sisi tu nyama yako na damu yako hasa.

Micah 7:5Usimtumaini jirani; 2 usiweke matumaini kwa rafiki. 1 Hata kwa yule alalaye kifuani mwako 2 uwe mwangalifu kwa maneno yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 29:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 29:13Genesis 29Genesis 29:15 →