Genesis 29:2
Huko akaona kisima katika shamba, pamoja na makundi matatu ya kondoo yamelala karibu na kisima hicho kwa sababu walikuwa wanakunywa maji kutoka kwenye kisimani hicho. Jiwe lililokuwa mdomoni mwa kisima lilikuwa kubwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Kisha Yakobo akaendelea na safari yake na akafika kwenye nchi za mataifa ya mashariki.
Cross References
Genesis 24:11Akawapigisha ngamia magoti karibu na kisima cha maji nje ya mji, ilikuwa inaelekea jioni, wakati ambapo wanawake wanakuja kuteka maji.
Exodus 2:15Farao aliposikia jambo hili, alijaribu kumuua Mose, lakini Mose akamkimbia Farao na kwenda kuishi katika nchi ya Midiani, akaketi kando ya kisima.
Song of Solomon 1:6Usinikazie macho kwa sababu mimi ni mweusi, 2 kwa sababu nimefanywa mweusi na jua. 1 Wana wa mama yangu walinikasirikia 2 na kunifanya niwe mtunza mashamba ya mizabibu. 2 Shamba langu mwenyewe la mizabibu nimeliacha. 1
John 4:6Huko ndiko kulikokuwa na kile kisima cha Yakobo. Naye Yesu alikuwa amechoka kwa kuwa alikuwa ametoka safarini. Akaketi karibu na hicho kisima. Ilikuwa yapata saa sita mchana.
Revelation 7:17Kwa maana Mwana-Kondoo 2 aliyeko katikati ya kile kiti cha enzi 2 atakuwa Mchungaji wao; 1 naye atawaongoza kwenda 2 kwenye chemchemi za maji yaliyo hai. 1 Naye Mungu atafuta kila chozi 2 kutoka macho yao.”