Genesis 30:12
Mtumishi wa kike wa Lea akamzalia Yakobo mwana wa pili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Zilpah Leah’s maid bare Jacob a second son.
In Context
11Ndipo Lea akasema, “Hii ni bahati nzuri aje!” Kwa hiyo akamwita Gadi.
Cross References
Numbers 1:40Kutoka wazao wa Asheri: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.