Genesis 30:11
Ndipo Lea akasema, “Hii ni bahati nzuri aje!” Kwa hiyo akamwita Gadi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Leah said, A troop cometh: and she called his name Gad.
In Context
10Mtumishi wa Lea yaani Zilpa, akamzalia Yakobo mwana.
12Mtumishi wa kike wa Lea akamzalia Yakobo mwana wa pili.
Cross References
Genesis 46:16Wana wa Gadi ni: 2 Sefoni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi na Areli. 1
Deuteronomy 33:20Kuhusu Gadi akasema: 1 “Atabarikiwa yeye aongezaye milki ya Gadi! 2 Gadi huishi huko kama simba, 2 akirarua kwenye mkono au kichwa. 1