Genesis 30:24
Akamwita Yosefu + 30:24 Yosefu maana yake Yeye na aongeze, yaani Mungu na aniongezee. na kusema, “ Bwana na anipe mwana mwingine.” 1 Makundi Ya Yakobo Yaongezeka
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And she called his name Joseph; and said, The LORD shall add to me another son.
In Context
23Akapata mimba na akamzaa mwana na kusema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.”
25Baada ya Raheli kumzaa Yosefu, Yakobo akamwambia Labani, “Nipe ruhusa nirudi katika nchi yangu.
Cross References
Genesis 35:24Wana wa Raheli walikuwa: 2 Yosefu na Benyamini. 1
Genesis 37:4Ndugu zake walipoona kwamba baba yao anampenda Yosefu kuliko yeyote mwingine miongoni mwao, walimchukia na hawakusema naye neno lolote jema.
Genesis 42:6Wakati huo Yosefu alikuwa mtawala wa nchi ya Misri, naye alikuwa ndiye aliwauzia watu wote nafaka. Kwa hiyo wakati ndugu zake Yosefu walipofika, wakamsujudia hadi nyuso zao zikagusa ardhi.
Genesis 49:22“Yosefu ni mzabibu uzaao, 2 mzabibu uzaao ulio kando ya chemchemi, 2 ambao matawi yake hutanda ukutani. 1
Ezekiel 37:16“Mwanadamu, chukua fimbo na uandike juu yake, ‘Hii ni kwa ajili ya Yuda na Waisraeli waliofungamana naye.’ Kisha chukua fimbo nyingine, uandike juu yake, ‘Fimbo ya Efraimu, ni kwa ajili ya Yosefu na nyumba yote ya Israeli wanaofungamana naye.’
Hebrews 11:21Kwa imani Yakobo alipokuwa anakufa, alimbariki kila mmoja wa mtoto wa Yosefu, akamwabudu Mungu akiwa ameegemea juu ya kichwa cha fimbo yake.