Genesis 35:24
Wana wa Raheli walikuwa: 2 Yosefu na Benyamini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The sons of Rachel; Joseph, and Benjamin:
In Context
25Wana waliozaliwa na Bilha mtumishi wa kike wa Raheli walikuwa: 2 Dani na Naftali. 1
Cross References
Genesis 30:24Akamwita Yosefu + 30:24 Yosefu maana yake Yeye na aongeze, yaani Mungu na aniongezee. na kusema, “ Bwana na anipe mwana mwingine.” 1 Makundi Ya Yakobo Yaongezeka
Genesis 35:18Hapo alipopumua pumzi yake ya mwisho, kwa maana alikuwa akifa, akamwita mwanawe Benoni. + 35:18 Benoni maana yake Mwana wa huzuni yangu. Lakini babaye akamwita Benyamini. + 35:18 Benyamini maana yake Mwana wa mkono wangu wa kuume.
Genesis 46:19Wana wa Raheli mke wa Yakobo ni: 2 Yosefu na Benyamini.
Joshua 18:11Kura iliangukia kabila la Benyamini, ukoo kwa ukoo. Eneo lao walilogawiwa lilikuwa kati ya kabila la Yuda na la Yosefu. 1
Ruth 4:11Kisha wazee pamoja na watu wote waliokuwa langoni wakasema, “Sisi ni mashahidi. Bwana na amfanye mwanamke huyu aingiaye nyumbani mwako kuwa kama Raheli na kama Lea, wale wanawake wawili ambao pamoja waliijenga nyumba ya Israeli. Nawe ufanikiwe katika Efrathi na uwe mashuhuri katika Bethlehemu.